WATUMISHI PRIVATE LOAN - Mkopo rahisi na wenye riba nafuuu
Huu ni aina ya mkopo ambao unatolewa kwa watumishi ambao ni waajiriwa wa sekta binafsi kwa ajili ya kukidhi mahitaji mbalimbali kama ujenzi, ada, kilimo nk.
Mkopo huu ni wa kiwango cha kiasi cha Tsh 100,000 hadi 50,000,000 kulingana na uwiano wa mshahara wa mtumishi.
Mkopo huu hutolewa ndani ya saa 48 mara baada ya kukamilisha vigezo na masharti yote hitajika.
Muda a mkopo huu ni kuanzia miez 6 hadi miezi 72.
Faida za Mkopo Wetu:
1. Muda wowote unaruhusiwa kulimaliza deni na kuondolewa riba zote za muda ambao haujautumia
2. Unaruhusiwa kufanya top up muda wowote
3. Riba nafuu
- Mahitaji ya mikopaji :
- Salary slip
- Kitambulisho cha Taifa
- Kitambulisho cha kazi
- Mkataba wa ajira yako ya sasa
- Passport size 1