WATUMISHI LOAN - Mkopo rahisi na wenye riba nafuuu
Huu ni mkopo unatolewa kwa watumishi walioajiriwa serikalini kwa kupitia mfumo wa ESS kwa ajili ya kukidhi mahitaji mbalimbali ya mtumishi kama ujenzi, ada, kilimo nk.
Mkopo huu huanzia kwanzia kiasi cha Tsh 20,000 hadi 50,000,000 kulingana na uwiano wa mshahara wa mtumishi.
Mkopo huu hutolewa ndani ya saa 48 mara baada ya kukamilisha vigezo na masharti yote hitajika.
Muda wa mkopo huu ni kuanzia miez 1 hadi miezi 84.
Faida za Mkopo Wetu:
1. Muda wowote unaruhusiwa kulimaliza deni na kuondolewa riba zote za muda ambao haujautumia
2. Unaruhusiwa kufanya top up muda wowote
3. Riba nafuu
Mahitaji ya mikopaji :
-uwe mwajiriwa