KITITA PLUS - MKOPO RAHISI NA NAFUU

KITITA PLUS ni aina ya mkopo wa kiwango cha Tsh 5,000,000 hadi 50,000,000 na unaotolewa kwa wajasiriamali wafanyabiashara na watumishi na makampuni, taasisi binafsi, mashirika n.k

Lengo kuu la mkopo huu ni kuinua biashara za wafanya biashara na pia kutibu dharula mbalimbali za kijamii kwa watumishi waajiriwa.
Mkopo huu ni wa riba rahisi na hutolewa ndani ya masaa 48 ya kazi mara baada ya kukamilisha vigezo na masharti yake.


Faida za mkopo KITITA PLUS :
Unachagua muda wa marejesho kulingana na mzunguko wa kipato chako. (siku, wiki, siku 10, au mwezi , nk.

Muda wa mkopo : kuanzia mwezi 1 hadi miezi 12

Dhamana Zinazokubalika ni :
Vyombo vya Usafiri: Pikipiki, Bajaji, na Magari nk
Vifaa vya Kazi: Mitambo, mashine n.k
Mali Isiyohamishika: Kiwanja, shamba, au nyumba, n.k

Nb: kwa watumishi waajiriwa wana hiyari ya kuchagua kudhaminiwa na mwajiri au kujidhamini mwenyewe kupitia dhamana zako.

Jiunge nasi kwa kupata mkopo wa KITITA PLUS ujiinue kimaisha kwa fedha ya haraka, rahisi, na salama! Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi au kutuma maombi yako sasa.

Wicom Support

Typically replies within a day