ni aina ya mkopo mdogo wa kiwango cha Tsh 100,000 hadi 1,000,000 na unaotolewa kwa wajasiriamali na watumishi Lengo kuu la mkopo huu ni kutibu dharula mbalimbali za kijamii kwa watumishi na wafanyabiashara katika shuguli zao mbali mbali. Mkopo huu ni wa riba rahisi na hutolewa ndani ya masaa 24 baada ya kukamilisha vigezo na masharti yake.
Faida za mkopo wa DHARURA:
Unachagua muda wa marejesho kulingana na mzunguko wa kipato chako. (wiki, siku 10, au mwezi , nk.

Muda wa mkopo:
Kuanzia siku 7 hadi miezi moja tu.
Dhamana Zinazokubalika ni :
Vyombo vya Usafiri: Pikipiki, Bajaji, na Magari nk
Vifaa vya Kazi: Mitambo, mashine n.k
Mali Isiyohamishika: Kiwanja, shamba, au nyumba, n.k
Nb: Mkopo hii hutolewa kwa wateja ambao tayari wanamikopo kwenye kampuni kwa lengo la kuwatimizia malengo yao kwa haraka na uhakika wa hali ya juu.
Jiunge nasi leo na uinue maisha yako kifedha kwa haraka, rahisi, na salama! Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi au kutuma maombi yako sasa.

Wicom Support

Typically replies within a day